LYRICS: Christina Shusho – Adamu
Mungu alipo muumba adamu
Hakumwacha awe pekeyake
Akamfanyia msaidizi wakufanana naye
Nyama yake katika nyama zake mfupa wake kati mifupa yake
Mwanamume ataacha wazazi wake ataambatana na mkewe mwanamke ataacha wazazi wake ataambatana na mumewe
Hawa wawili watakuwa mwili mmoja kwani nia moja washirikiane kwa pamoja
Mambo haya matetu yawe ngao kwa upendo wenu eeeh hee hee hee
Mambo haya matetu yatumike katika ndoa yenu eeh hee hee hee
Nakupenda(mpenzi wangu ulivyoumbika)nakupenda(katika viumbe umezidi wote)nakupenda(nimekuchagua uwe wangu)nakupenda(kifo tu kitutenganishe)nisamehe(nikukosea unisamehe)nisamehe(nisamehe nisamehe mpenzi)nisamehe(mimi ni mwanadamu wala c malaika) nisamehe(ninaomba nisamehe mpenzi) asante(kwa kunichagua niwe wako) asante(umetimiza ahadi ya ndoa)asante(nitajitahidi niwe mwaminifu)asante (asante mpenzi wangu) asante