LYRICS: Christina Shusho – Hesabu
LYRICS: Christina Shusho - HesabuNimehesabu, NakuhesabuNimehesabu, NakuhesabuNimeongeza na kutoaNikazidisha na kugawanyaNimeona ni wewe, Yesu ni wewe tuNimeona ni wewe eh, Yesu ni wewe tuHakuna mwingine ni wewe, Yesu ni wewe…